Skip to content
NAMNA YA KUFANYA HIJA

NAMNA YA KUFANYA HIJA

Imeandikwa na Mheshimiwa, Sheikh, Mwanachuoni Mwenyezi Mungu amsamehe yeye na wazazi wake na Waislamu wote Kila sifa njema ni za Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu wote, na ninaomba rehema na amani ziwe juu ya Nabii wetu Muhammadi, na juu ya watu wake na Maswahaba zake wote. Na baada ya hayo: Hakika mimi ninawaletea ndugu zangu kiasi kidogo cha maneno kuhusu Hija kwa sababu ya kuingia kwa wakati wake, nikitaraji kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu aifanye kazi ya watu wote kuwa tu kwa jili ya uso wake, na yenye manufaa na kukurubisha kwake; kwani Yeye ndiye Mpaji, Mkarimu.

0%
Font size