Skip to content
FATWA ZA HIJA, UMRA NA KUTEMBELEA MSIKITI WA MTUME

FATWA ZA HIJA, UMRA NA KUTEMBELEA MSIKITI WA MTUME

Ambayo yalichaguliwa kutoka katika Mkusanyiko wa Fatwa za Kamati ya Kudumu ya Fatwa katika Ufalme wa Saudi Arabia, huku maswali yakiwa yamefupishwa ili kuendana na kila hali. Kwanza: Majibu (Fatwa) ya kiujumla Swali: Je, inaruhusiwa kwa baba yangu kufanya Umra kwa pesa alizokopa benki? Jibu: Ni lazima kwa anayetaka kuhiji au kufanya Umra kwa niaba yake au kwa niaba ya mtu mwingine achague pesa nzuri kwa ajili ya matumizi katika Hija yake na Umra. Kwa sababu Mwenyezi Mungu Mtukufu ni mzuri na hakubali isipokuwa yaliyo mazuri tu.

Lugha: lang_sw
Imeandaliwa na: Kamati ya Kielimu ya Jumuia ya Huduma ya Maudhui za Kiislamu kwa Lugha mbalimbali.
Toleo: 2.0
Download PDF 636 KB

This PDF is generated automatically from the book's text; its layout may differ from the printed edition.

0%
Font size