Swali: 13- Ni wapi maadui wa mwanadamu?
- الباب / الفصل
- قسم المنوعات
السؤال
س١٥: من هم أعداء الإنسان؟
Swali: 13- Ni wapi maadui wa mwanadamu?
الجواب
ج:١. النفس الأمارة بالسوء: وذلك أن يتبع الإنسان ما تمليه عليه نفسه وهواه في معصية الله تَبَارَكَ وَتَعَالَى،
قال سُبْحَانَهُ:
﴿إِنَّ ٱلنَّفۡسَ لَأَمَّارَةُۢ بِٱلسُّوۤءِ إِلَّا مَا رَحِمَ رَبِّيۚ إِنَّ رَبِّي غَفُورٌ رَّحِيمٌ﴾
[يوسف: ٥٣].
- الشيطان: وهو عدو ابن آدم وغايته أن يضل الإنسان ويوسوس له في الشر ويدخله النار.
قال تَعَالَى:
﴿وَلَا تَتَّبِعُواْ خُطُوَٰتِ ٱلشَّيۡطَٰنِۚ إِنَّهُۥ لَكُمۡ عَدُوّٞ مُّبِينٌ﴾
[البقرة: ١٦٨].
- أصحاب السوء: الذين يحثّون على الشر، ويصدّون عن الخير.
﴿ٱلۡأَخِلَّآءُ يَوۡمَئِذِۭ بَعۡضُهُمۡ لِبَعۡضٍ عَدُوٌّ إِلَّا ٱلۡمُتَّقِينَ﴾
[الزخرف: 67].
- Ni nafsi yenye kuamrisha maovu: Nako ni mtu kufuata yale ambayo nafsi yake inamtuma na matamanio yake katika kumuasi Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na kutukuka, Amesema Mtukufu:
"Hakika nafsi huamrisha maovu mno, isipokuwa ile ambayo Mola wangu mlezi aliyoirehemu, Hakika Mola wangu Mlezi ni msamehevu na Mwenye kurehemu"
[Suratu Yusuf: 53]
- Shetani: Na huyu ni adui wa mwanadamu, na lengo lake ni kumpoteza na kumtia wasi wasi ili aingie katika shari na amuingize motoni. Amesema Mtukufu:
"Na wala msifuate nyayo za shetani, hakika yeye kwenu nyinyi ni adui wa wazi".
[Suratul Baqara: 24].
- Watu waovu: Wanaohamasisha katika shari, na wanazuia kheri. Amesema Mtukufu:
"Marafiki katika kumuasi Mwenyezi Mungu duniani watatengana wao kwa wao Siku ya Kiyama. Lakini wale waliofanya urafiki juu ya uchaji Mwenyezi Mungu, urafiki wao utadumu duniani na Akhera".
[Suratuz zukhruf: 13,14].