Skip to content

السؤال

س۱۳: ما الواجب إذا رأيت امرأة أجنبية؟

Swali: 12- Ni lipi la wajibu unapomuona mwanamke wa kando (asiyekuwa ndugu yako)?

الجواب

ج:الواجب غض البصر،

قال تَعَالَى:

﴿قُلْ لِلْمُؤْمِنِينَ يَغُضُّوا مِنْ أَبْصَارِهِمْ﴾

[النور: ٣٠].

Jawabu: La wajibu ni kuinamisha macho, Amesema Mtukufu:

"Sema kuwaambia waumini wa kiume wainamishe macho yao"

[Suratun Nuru: 30]