Skip to content

السؤال

س١٨: ماذا تقول بعد الأذان؟

Swali: 18- Unasema nini baada ya adhana?

الجواب

ج:«تصلي على النبي صلى الله عليه وسلم»

رواه مسلم.

  • وتقول:

«اللهم رب هذه الدعوة التامة، والصلاة القـائـمـة، آت محـمـدًا الـوسـيلة والفـضـيلـة، وابـعثه مقامًا محمودًا الذي وعدته»

البخاري.

  • وتدعو بين الأذان والإقامة، فإن الدعاء لا يرد.

Jawabu: Ninamtakia rehema Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake-.

Imepokelewa na Imamu Muslim

Na ninasema: "Allaahumma rabba haadhihid da'watit taamma, was swalaatul qaaima, aati Muhammadanil wasiilata wal fadhwiila, wab'ath-huu maqaaman mahmuudanil ladhii wa a'ttah". Ewe Mwenyezi Mungu huu ni wito uliotimia, na swala imewadia, mpe Muhammadi wasiila (daraja) na nafasi, na umfufue nafasi nzuri uliyomuahidi.

Kaipokea Bukhari.

Na ninaomba dua kati ya adhana na iqaama, kwani dua wakati huo hairejeshwi.