Skip to content

السؤال

س٣: من أين نأخذ الأخلاق؟

Swali: 3- Ni wapi tunachukua tabia njema?.

الجواب

ج:من القرآن الكريم، قال تَعَالَى:

﴿إِنَّ هَذَا الْقُرْآَنَ يَهْدِي لِلَّتِي هِيَ أَقْوَمُ﴾

[الإسراء: ٩].

  • ومن السنة النبوية: حيث قال رسولُ اللهِ ﷺ:

«إنَّما بُعِثْتُ لِأُتَمِّمَ صالحَ الأَخلاقِ»

رواه أحمد.

Jawabu: Kutoka katika Qur'ani tukufu, amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

{Hakika hii Qur'ani inaongoa kwenye yale yaliyo nyooka kabisa}.

[Suratul Israai: 57].

Na kutoka katika mafundisho ya Mtume: amesema Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:

"Hakika bila shaka nimetumwa ili nitimilize tabia njema".

Imepokelewa na Ahmad.