Swali: 31- Hofu ni nini? Na je kutaraji ni nini? Na ni upi ushahidi?
- الباب / الفصل
- قسم العقيدة
السؤال
س31: ما هو الخوف؟ وما هو الرجاء؟ وما الدليل؟
Swali: 31- Hofu ni nini? Na je kutaraji ni nini? Na ni upi ushahidi?
الجواب
ج:الخوف: هو الخشية من الله ومن عقابه.
الرجاء: هو الطمع في ثواب الله ومغفرته ورحمته.
الدليل: قوله تَعَالَى:
﴿أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ يَدۡعُونَ يَبۡتَغُونَ إِلَىٰ رَبِّهِمُ ٱلۡوَسِيلَةَ أَيُّهُمۡ أَقۡرَبُ وَيَرۡجُونَ رَحۡمَتَهُۥ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُۥٓۚ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحۡذُورٗا﴾
[الإسراء: 57].
وقال تَعَالَى:
﴿نَبِّئْ عِبَادِي أَنِّي أَنَا الْغَفُورُ الرَّحِيمُ 49 وَأَنَّ عَذَابِي هُوَ الْعَذَابُ الْأَلِيمُ 50﴾
[الحجر: 49-50]
Jawabu: Hofu: Ni kumuogopa Mwenyezi Mungu na kuogopa adhabu zake.
Kutaraji: Ni kutaraji thawabu za Mwenyezi Mungu na msamaha wake na rehema zake.
Na ushahidi ni kauli yake Allah Mtukufu:
"Hao washirikina wanawaomba, miongoni mwa Manabii, watu wema na Malaika, wao wenyewe wanashindana kujiweka karibu na Mola wao kwa matendo mema wanayoyaweza, wanatarajia rehema Yake na wanaogopa adhabu Yake. Hakika adhabu ya Mola wako ndiyo ambayo inatakikana kwa waja wawe na tahadhari nayo na waiogope(adhabu ya moto)".
[Suratul Israai: 57].
Na amesema Allah Mtukufu:
{Wape habari, ewe Mtume, waja wangu kwamba mimi ni mwenye kuwasamehe Waumini wenye kutubia, ni mwenye huruma kwao 49 Na kwamba adhabu yangu ndiyo adhabu iumizayo}.
[Suratul Hijri: 49,50].