Skip to content
رسول الإسلام محمد صلى الله عليه وسلم

رسول الإسلام محمد صلى الله عليه وسلم

Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu. Muhammad Allah Amrehema ni Mtume wa Uislamu Maelezo mafupi kuhusu Mtume wa Uislamu Muhammad Allah Amshushie rehema na amani. Kuhusu jina lake, nasaba yake, mji wake, kuoa kwake na ujumbe wake, Na alichokilingania, miujiza ya Utume wake, sheria yake na msimamo wa mahasimu dhidi yake. [1] Na daima nimepupia juu ya kuambatanisha baina ya maneno mawili, Mtume, Muhammad, kwa kuchunga tafsiri, hivyo lizingatiwe hilo. 1-Jina lake ukoo wake mji ambao alio zaliwa na akakulia ndani ya mji huo. Mtume wa Uislamu ni Muhammad bin Abdillah ibn…

Lugha: lang_sw
Imeandaliwa na:
Toleo: 1.2

These files are generated automatically from the book's text; their layout may differ from the printed edition.

0%
Font size