وَٱلۡعَصۡرِ
Naapa kwa Zama!
Explanation & meanings · 1
- Naapa kwa Zama kwa sababu ya maajabu mengi na mazingatio yaliomo ndani yake.
العَصر is chapter 103 of the Quran and has 3 verses. This page presents it in full in the Uthmani script, with a verse-by-verse translation of its meaning.
وَٱلۡعَصۡرِ
Naapa kwa Zama!
إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لَفِي خُسۡرٍ
Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,
إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلۡحَقِّ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلصَّبۡرِ
Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.