Mwanamke atakapotokwa na damu ya hedhi Adhuhuri, akiwa hajaswali swala ya Adhuhuri, je analazimika kuilipa swala ile baada ya kutwaharika?
السؤال
Swali la 1:
Mwanamke atakapotokwa na damu ya hedhi Adhuhuri, akiwa hajaswali swala ya Adhuhuri, je analazimika kuilipa swala ile baada ya kutwaharika?
س21: إذا حاضت المرأة الساعة الواحدة ظهرًا مثلًا، وهي لم تصلّ بعد صلاة الظّهر، فهل يلزمها قضاء تلك الصلاة بعد الطّهر؟
الجواب
Jawabu la 1:
Katika hili kuna tofauti baina ya wanachuoni, wapo wanaosema haimlazimu mwanamke huyu kuilipa swala hii, kwa sababu hakufanya uzembe na wala hatopata dhambi; na kwakuwa anaruhusiwa kuichelewesha swala mpaka ukikaribia mwisho wa wakati wa swala.
Wengine wanasema: Analazimika kuilipa, namaanisha kuilipa swala ile iliyompita kabla ya hedhi kutoka, kutokana na ujumla wa maneno ya Mtume -rehema na amani ziwe juu yake-:
"Atakaye idiriki rakaa katika swala basi amediriki swala"
Na kwa kujiepusha kuingia katika madhambi: Bora ailipe, maana ni swala moja, hakuna ugumu katika kuilipa.
ﺟ21: في هذا خلافٌ بين العلماء، فمنهم من قال: إنه لا يلزمها أن تقضي هذه الصلاة؛ لأنها لم تفرط، ولم تأثم؛ حيث إنه يجوز لها أن تؤخّر الصلاة إلى آخر وقتها.
ومنهم من قال: إنه يلزمها القضاء، أي: قضاء تلك الصلاة؛ لعموم قوله ﷺ:
«مَنْ أَدْرَكَ رَكْعَةً مِنَ الصَّلَاةِ فَقَدْ أَدْرَكَ الصَّلَاةَ» [1].
[5] تقدم تخريجه.
والاحتياط لها: أن تقضيها؛ لأنها صلاةٌ واحدةٌ، لا مشقة في قضائها.