Skip to content

السؤال

س٢٤: ما يقول الإنسان إذا عطس؟

Swali: 24- Anasema nini mtu anapopiga chafya?

الجواب

ج:«الحمد لله».

وليقل له أخوه أو صاحبه: «يرحمك الله».

فإذا قال له: فليقل: «يهديكم الله ويصلح بالكم»

رواه البخاري.

Jawabu: "Alhamdulillaah" Hakika sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu.

  1. Na aliyemsikia aseme kumwambia ndugu yake: "Yar-hamukallaah" Mwenyezi Mungu akuhurumie.

Akisema kumwambia hivyo: Basi naye aseme: "Yah-diikumullaahu wayuslih baalakum" Akuongozeni Mwenyezi Mungu na akutengenezeeni mambo yenu".

Imepokelewa na Al-Bukhaariy