Skip to content

السؤال

س٢٥: ما تقول عند القيام والفراغ من المجلس "دعاء كفارة المجلس"؟

Swali: 25- Unasema nini wakati wa kumaliza kikao? "Dua ya kafara ya kikao?

الجواب

ج:«سبحانك اللهم وبحمدك، أشهد أن لا إله إلا أنت، أستغفرك وأتوب إليك»

رواه أبو داود والترمذي وغيرهما.

"Sub-haanakallaahumma wabihamndika Ash-hadu an laa ilaaha illaa anta Astaghafiruka wa atuubu ilaika. Maana yake " Umetakasika ewe Mwenyezi Mungu, Na sifa njema ni zako, ninashuhudia kuwa hapana Mola ila wewe, ninakuomba msamaha na ninatubia kwako.

Imepokelewa na Abuu Daud na Tirmidhiy na wengineo.