Skip to content

السؤال

س28: ما السنن الرواتب؟ وما فضلها؟

Swali: 27- Ni zipi sunna zilizo na mpangilio (Sunani rawatibu)?

الجواب

ج:ركعتان قبل الفجر.

  • أربع ركعات قبل الظهر.
  • ركعتان بعد الظهر.
  • ركعتان بعد المغرب.
  • ركعتان بعد العشاء.

فضلها: قال النبي صلي الله عليه وسلم:

«من صلى في اليوم والليلة اثنتي عشرة ركعة تطوعًا بنى الله له بيتًا في الجنة»

رواه مسلم وأحمد وغيرهما.

Jawabu: Rakaa mbili kabla ya alfajiri.

Rakaa nne kabla ya Adhuhuri.

Rakaa mbili baada ya adhuhuri.

Rakaa mbili baada ya magharibi.

Rakaa mbili baada ya Ishaa.

Ubora wake: Kasema Mtume Rehema na amani ziwe juu yake:

"Atakayeswali mchana na usiku rakaa kumi na mbili za hiyari, basi Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba peponi"

Kaipokea Muslim na Ahmad na wengineo.