Swali: 28- Ni ipi siku bora katika siku za wiki?
- الباب / الفصل
- قسم الفقه
السؤال
س29: ما أفضل أيام الأسبوع؟
Swali: 28- Ni ipi siku bora katika siku za wiki?
الجواب
ج:يوم الجمعة، قال النبي عَلَيْهِ الصَّلَاةُ وَالسَّلَامُ:
«إن من أفضل أيامكم يوم الجمعة فيه خلق آدم وفيه قبض وفيه النفخة وفيه الصعقة فأكثروا علي من الصلاة فيه فإن صلاتكم معروضة علي».
قالوا يا رسول الله وكيف تعرض صلاتنا عليك وقد أرمت؟ – يقولون بليت – فقال:
«إن الله عَزَّ وَجَلَّ حرم على الأرض أجساد الأنبياء»
رواه أبو داود وغيره.
Jawabu: Ni siku ya ijumaa, Amesema Mtume Sala na amani ziwe juu yake:
"Hakika katika siku zenu bora ni siku ya ijumaa, ndani yake kaumbwa Adam, na ndani yake alifariki, na ndani yake litapulizwa baragumu na ndani yake utatokea ukelele, basi zidisheni ndani yake kunitakia rehema juu yangu kwani dua zenu za rehema huletwa kwangu".
Akasema: Wakasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni vipi dua zetu zinaletwa kwako na hali tayari uko katika udongo? Akasema:
"Hakika Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na kutukuka ameiharamishia ardhi mili ya Manabii".
Imepokelewa na Abudaud na Tirmidhiy na wengineo.