Swali: 41- Ni upi wajibu wa kuamrisha matendo mema na kukataza mabaya?
- الباب / الفصل
- قسم العقيدة
السؤال
س41: ما هو واجب الأمر بالمعروف والنهي عن المنكر؟
Swali: 41- Ni upi wajibu wa kuamrisha matendo mema na kukataza mabaya?
الجواب
ج:المعروف: هو الأمر بكل طاعة لله عَزَّ وَجَلَّ،
والمنكر: هو النهي عن كل معصية لله عَزَّ وَجَلَّ.
- قال تَعَالَى:
﴿كُنتُمۡ خَيۡرَ أُمَّةٍ أُخۡرِجَتۡ لِلنَّاسِ تَأۡمُرُونَ بِٱلۡمَعۡرُوفِ وَتَنۡهَوۡنَ عَنِ ٱلۡمُنكَرِ وَتُؤۡمِنُونَ بِٱللَّهِۗ﴾
[آل عمران: ١١٠].
Jawabu: Kuamrisha mema: Ni kuamrisha katika kila ambalo ni la kumtii Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na kutukuka, na uovu: Ni kukataza kila maasi ya kumuasi Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na kutukuka.
Amesema Allah Mtukufu:
"Nyinyi, enyi umma wa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, ni umma bora na ni watu wenye manufaa zaidi kwa watu, mnaamrisha mema, nayo ni yale yanayofahamika uzuri wake kisheria na kiakili, na mnakataza maovu , nayo ni yale yanayoeleweka ubaya wake kisheria na kiakili, na mnamuamini Mwenyezi Mungu kikweli-kweli imani inayotiliwa nguvu na vitendo."
[Surat Al Imran: 19]