Skip to content

Swali: 16- Ni nini maana ya Qur'ani?

الباب / الفصل
قسم العقيدة

السؤال

Swali: 16- Ni nini maana ya Qur'ani?

س16: ما هو تعريف القرآن؟

الجواب

Jawabu: Ni maneno ya Mwenyezi Mungu mtukufu, hayajaumbwa.

Amesema Allah Mtukufu:

"Na pindi yeyote, miongoni mwa washirikina, akiomba kuingia kwenye himaya yako, ewe Mtume, na akataka amani, basi mkubalie maombi yake ili apate kuyasikia maneno ya Mwenyezi Mungu mtukufu na auone uongofu wake,"

[Suratu Tauba: 6].

ج:هو كلام الله تَعَالَى، ليس بمخلوق.

قال تَعَالَى:

﴿وَإِنْ أَحَدٌ مِنَ الْمُشْرِكِينَ اسْتَجَارَكَ فَأَجِرْهُ حَتَّى يَسْمَعَ كَلَامَ اللَّهِ﴾

[التوبة: 6].

وروي في الحديث:

«وفضل كلام الله على سائر الكلام كفضل الله على خلقه»

رواه الترمذي.