Skip to content

Swali: 13- Je! kuna yeyote anayejua ghaibu (mambo yaliyofichikana) zaidi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu?

الباب / الفصل
قسم العقيدة

السؤال

Swali: 13- Je! kuna yeyote anayejua ghaibu (mambo yaliyofichikana) zaidi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu?

س13: هل يعلم الغيب أحد سوى الله تَعَالَى؟

الجواب

Jawabu: Hakuna ajuaye ghaibu isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee,

Amesema Allah Mtukufu:

"Sema, ewe Mtume, kuwaambia wao, «Hakuna yeyote ajuaye, mbinguni wala ardhini, jambo lolote lililofichikana ambalo Mwenyezi Mungu Amejihusisha Mwenyewe kulijua. Na wao hawajui ni lini watafufuliwa kutoka makaburini mwao wakati wa Kiyama kusimama.»

[Suratun Namli: 65]

ج:لا يعلم الغيب إلا الله وحده.

قال تَعَالَى:

﴿قُل لَّا يَعۡلَمُ مَن فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ ٱلۡغَيۡبَ إِلَّا ٱللَّهُۚ وَمَا يَشۡعُرُونَ أَيَّانَ يُبۡعَثُونَ﴾

[النمل: 65].