Skip to content
Mimi ni Muislamu

Mimi ni Muislamu

Makala hii imebainisha maana ya Uislamu, na ni nani Muislamu, na vipi utakuwa Muislamu wa kweli, kama ilivyosheheni kwa kutaja uzuri wa Uislamu na baadhi ya adabu na tabia za hali ya juu, na nafasi ya mwanamke, na haki za ndugu wa karibu na jirani na jamii, inabainisha kuwa Uislamu unaamrisha na unaita watu kwenye kila jambo zuri, na haukatazi isipokuwa kila kilicho kibaya.

Lugha: lang_sw
Imeandaliwa na: Kamati ya kielimu ya usimamizi wa mambo ya dini katika Msikiti wa Makkah na Msikiti wa Mtume
Toleo: 1.0
Download PDF 251 KB

This PDF is generated automatically from the book's text; its layout may differ from the printed edition.

0%
Font size