Skip to content

السؤال

س27: ما آخر ما نزل من القرآن؟

Swali: 15- Ni kipi cha mwisho kilichoteremka kwake katika Qur'ani?

الجواب

ج:قوله تَعَالَى:

﴿وَٱتَّقُواْ يَوۡمٗا تُرۡجَعُونَ فِيهِ إِلَى ٱللَّهِۖ ثُمَّ تُوَفَّىٰ كُلُّ نَفۡسٖ مَّا كَسَبَتۡ وَهُمۡ لَا يُظۡلَمُونَ﴾

[البقرة: 281].

Jawabu: Ni kauli yake Mtukufu:

"Na itahadharini, enyi watu, Siku mtakaporejeshwa kwa Mwenyezi Mungu, nayo ni Siku ya Kiyama, mtakapo orodheshwa kwa Mwenyezi Mungu ili Awahesabu na Amlipe kila mmoja miongoni mwenu kwa alilolitenda la kheri au la shari bila ya kufikiwa na maonevu"

[Suratul Baqara: 24].