Skip to content

السؤال

س29: اذكر أزواج النبي صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ.

Swali: 29- Taja wake za Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake?

الجواب

ج:١. خديجة بنت خويلد رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.

  1. سودة بنت زمعة رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.
  2. عائشة بنت أبي بكر الصديق رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.
  3. حفصة بنت عمر رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.
  4. زينب بنت خزيمة رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.
  5. أم سلمة هند بنت أبي أمية رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.
  6. أم حبيبة رملة بنت أبي سفيان رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.
  7. جويرية بنت الحارث رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.
  8. ميمونة بنت الحارث رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.
  9. صفية بنت حيي رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.
  10. زينب بنت جحش رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.

Jawabu: 1- Khadija binti Khuwailid Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake.

  1. Sauda binti Zam'a Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake.
  2. Aisha binti Abuu Bakari Asswidiiq -Radhi za Allah ziwe juu yake-
  3. Hafswa binti Omari Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake.
  4. Zainab bint Khuzaima -Radhi za Allah ziwe juu yake.
  5. Ummu Salama, Hindu binti Abii Umaiyya Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake.
  6. Ummu Habiba Ramla bint Abii Sufiyaan -Radhi za Allah ziwe juu yake-
  7. Juweyriyah bint Al Haarithi - Radhi za Allah ziwe juu yake.
  8. Maymuunah bint Al Haarithi - Radhi za Allah ziwe juu yake.
  9. Swafiyyah bint Huyeyyi - Radhi za Allah ziwe juu yake.
  10. Zainab binti Jahshi Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake.