Skip to content

Alifariki lini Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake? Na umri wake ulikuwa ni miaka mingapi?

الباب / الفصل
قسم السيرة النبوية

السؤال

س28: متى توفي النبي صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ؟ وكم كان عمره؟

Swali: 28- Alifariki lini Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake? Na umri wake ulikuwa ni miaka mingapi?

الجواب

ج:توفي في شهر ربيع الأول، من السنة الحادية عشرة من الهجرة، وله من العمر ثلاث وستون سنة.

Jawabu: Alifariki katika mwezi wa rabiil Awwal, katika mwaka wa kumi na moja tangu kuhamia Madina, akiwa na umri wa miaka sitini na tatu.