Skip to content

Ilikuwaje hali ya Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake na wale waliomuamini baada ya kutangaza wazi ujumbe wake?

الباب / الفصل
قسم السيرة النبوية

السؤال

س18: ما كان حال النبي صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ ومن آمن به بعد الجهر بالدعوة؟

Swali: 18- Ilikuwaje hali ya Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake na wale waliomuamini baada ya kutangaza wazi ujumbe wake?

الجواب

ج:بالغ المشركون في أذيته وأذية المسلمين، حتى أذن للمؤمنين بالهجرة إلى النجاشي في الحبشة.

وأجمع أهل الشرك على أذية وقتل النبي صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ، فحماه الله وأحاطه بعمه أبو طالب ليحميه منهم.

Jawabu: Washirikina walipita kiasi katika kumuudhi na kuwaudhi waislamu, mpaka akawaruhusu waumini kuhama kwenda kwa Mfalme Najashi huko Habasha (Ethiopia).

Na wakakubaliana washirikina wote juu ya kumuudhi na kumuua Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake, Mwenyezi Mungu akamuhami na akampa ulinzi kupitia baba yake mdogo Abuu Twalib ili amlinde kutokana nao.