Skip to content

Ni nani aliyefariki katika mwaka wa kumi wa utume wake Rehema na Amani ziwe juu yake?

الباب / الفصل
قسم السيرة النبوية

السؤال

س19: من توفي في العام العاشر من بعثته صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ؟

Swali: 19- Ni nani aliyefariki katika mwaka wa kumi wa utume wake Rehema na Amani ziwe juu yake?

الجواب

ج:توفي عمه أبو طالب، وزوجته خديجة رَضِيَ اللَّهُ عَنْهَا.

Jawabu: Alifariki baba yake mdogo Abuu twalib, na mke wake bi Khadija Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake.