Skip to content

Swali: 29- Ni ipi nyumba ya waumini?

الباب / الفصل
قسم العقيدة

السؤال

Swali: 29- Ni ipi nyumba ya waumini?

س29: ما هي دار المؤمنين؟

الجواب

Jawabu: Ni pepo, Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

"Hakika Mwenyezi Mungu Atawatia, wale ambao waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wakajikita katika Imani hiyo na wakafanya mema, kwenye mabustani ya Pepo ambayo inapita mito chini ya majumba yake ya kifahari na miti yake."

[Suratu Muhammad: 19]

ج:الجنة، قال تَعَالَى:

﴿إِنَّ اللَّهَ يُدْخِلُ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ﴾

[محمد: 12].