Skip to content

Swali: 2- Ni ipi dini yako?

الباب / الفصل
قسم العقيدة

السؤال

Swali: 2- Ni ipi dini yako?

س2: ما دينك؟

الجواب

Jawabu: Dini yangu ni uislamu: Nao Ni kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu kwa kumpwekesha, na kunyenyekea kwa kumtii, na kujiepusha na ushirikina pamoja na washirikina.

Amesema Allah Mtukufu:

"Hakika dini inayo kubaliwa kwa Mwenyezi Mungu ni Uislamu"

[Surat Al Imran: 19]

ج:ديني الإسلام، وهو: الاستسلام لله بالتوحيد، والانقياد له بالطاعة، والبراءة من الشرك وأهله.

قال تَعَالَى:

﴿إِنَّ ٱلدِّينَ عِندَ ٱللَّهِ ٱلۡإِسۡلَٰمُۗ﴾

[آل عمران: 19].