Skip to content

Swali: 3- Nani Nabii wako?

الباب / الفصل
قسم العقيدة

السؤال

Swali: 3- Nani Nabii wako?

س3: من نبيك؟

الجواب

Jawabu: Ni Muhammad Rehema na Amani ziwe juu yake.

Amesema Allah Mtukufu:

"Muhamadi ni mjumbe wa Mwenyezi Mungu"

[Surat Al-fath :29]

ج:محمد صلى الله عليه وسلم.

قال تَعَالَى:

﴿مُّحَمَّدٌ رَّسُولُ ٱللَّهِ﴾

[الفتح: 29].