Skip to content
FADHILA ZA SIKU KUMI (ZA MWANZO) ZA DHUL-HIJA

FADHILA ZA SIKU KUMI (ZA MWANZO) ZA DHUL-HIJA

Utangulizi Kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu, na rehema na amani zimfikie yule aliyetumwa kuwa rehema kwa walimwengu, na kwa watu wake, na Maswahaba zake, na wale waliofuata mwenendo wake, na wakaongoka kwa muongozo wake, mpaka siku ya Malipo. Ama baada ya hayo: Huu ni ujumbe mfupi, uliokusanya mambo muhimu anayoyahitaji Muislamu katika fadhila za siku kumi za mwanzo wa Dhul-Hija. Tumezikusanya kwa ajili ya mwenye kutembelea Misikiti Miwili Mitukufu, mwanaume na mwanamke; ili wawe na elimu na utambuzi na mambo ya dini yao, tukitaraji kutoka kwa Mkarimu,…

Lugha: lang_sw
Imeandaliwa na: Kamati ya Kielimu ya Jumuia ya Kuhudumia Maudhui za Kiislamu kwa Lugha Mbalimbali.
Toleo: 2.0

These files are generated automatically from the book's text; their layout may differ from the printed edition.

0%
Font size