89 : 2
وَلَيَالٍ عَشۡرٖ
Na kwa masiku kumi!
Explanation & meanings · 1
- Na kwa masiku kumi yaliyo tukuzwa na Mwenyezi Mungu. (Na hayo ni masiku kumi ya mwanzo wa Mwezi wa Alhaj, Mfungo Tatu).
Aya 2 of الفَجر (89 : 2). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَلَيَالٍ عَشۡرٖ
Na kwa masiku kumi!