Skip to content

السؤال

س٢٨: ما هو دعاء المسافر للمقيم؟

Swali: 28- Ni ipi dua ya msafiri kwa mkazi?

الجواب

ج:«أستودعكم الله الذي لا تضيع ودائعه»

رواه أحمد وابن ماجة.

Jawabu: "Astaudiukumullaahu lladhii laa tadhwiiu wadaa iu'hu" Maana yake: Nakukabidhini kwa Mwenyezi Mungu ambaye hakipotei alichokitunza.

Kaipokea Ahmadi na bin Maaja.