Skip to content

السؤال

س٤: ماذا تقول عند الاستيقاظ من النوم؟

Swali: 4- Unasema nini wakati wa kuamka kutoka usingizini?

الجواب

ج:«الحمد لله الذي أحيانا بعد ما أماتنا، وإليه النشور»

متفق عليه.

"Al-hamdulillaahi lladhi ah-yaanaa baada maa amaatanaa wailaihin nushuur" Yaani: Kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu aliyetuhuisha baada ya kutufisha na kwake tutafufuliwa.

Hadithi hii wamekubaliana Bukhari na Muslim.