Skip to content

السؤال

س٥: ماذا تقول إذا لبست ثوبك؟

Swali: 5- Unasema nini unapovaa nguo yako?

الجواب

ج:«الحمد لله الذي كساني هذا الثوب ورزقنيه من غير حول مني ولا قوة»

رواه أبو داود والترمذي وغيرهما.

Jawabu: "Alhamdulillaahil ladhi kasaani haadhath thauba warazaqaniihi min ghairi haulin minni walaa quwwatin". Kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu aliyenivisha nguo hii na akaniruzuku si kwa ujanja wangu wala si kwa nguvu yangu"

Imepokelewa na Abuu Daud na Tirmidhiy na wengineo.