Skip to content

السؤال

س48: ما هو الجهاد في سبيل الله؟

Jawabu: 47- Ni ipi jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu?

الجواب

ج:هو بذل الجهد والوسع في نشر الإسلام والدفاع عنه وعن أهله، أو قتال عدو للإسلام وأهله.

قال تَعَالَى:

﴿وَجَاهِدُوا بِأَمْوَالِكُمْ وَأَنْفُسِكُمْ فِي سَبِيلِ اللَّهِ ذَلِكُمْ خَيْرٌ لَكُمْ إِنْ كُنْتُمْ تَعْلَمُونَ﴾

[التوبة: 41].

*******

Jawabu: Ni kutoa juhudi na wakati katika kuueneza uislamu na kuutetea na kuwatetea waislamu, au kupigana na adui wa uislamu na waislamu.

Amesema Allah Mtukufu:

"Na piganeni jihadi kwa mali zenu na nafsi zenu katika njia ya Mwenyezi Mungu. Haya ni kheri kwenu ikiwa mnajua"

[Suratu Tauba: 6].