Skip to content

السؤال

س32: هل يجوز التخلف عن صلاة الجمعة؟

Swali: 31- Je inafaa kutokwenda katika swala ya ijumaa?

الجواب

ج:لا يجوز التخلف عن صلاة الجمعة إلا من عذر شرعي، وجاء عن النبي ﷺ، قوله:

«من ترك ثلاث جمع تهاونًا بها؛ طبع الله على قلبه»

رواه أبو داود وغيره.

Jawabu: Haitakiwi kuacha kwenda katika swala ya ijumaa isipokuwa kwa udhuru wa kisheria, na imekuja kutoka kwa Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake, kauli yake:

"Atakayeacha ijumaa tatu kwa kuzipuuzia; Mwenyezi Mungu hupiga muhuri katika moyo wake"

Imepokelewa na Abudaud na Tirmidhiy na wengineo.