Skip to content

السؤال

س35: ما هو الخشوع في الصلاة؟

Swali: 34: Nini maana ya kunyenyekea ndani ya swala?

الجواب

ج:هو حضور القلب وسكون الجوارح فيها.

قال تَعَالَى:

﴿قَدۡ أَفۡلَحَ ٱلۡمُؤۡمِنُونَ 1

ٱلَّذِينَ هُمۡ فِي صَلَاتِهِمۡ خَٰشِعُونَ 2﴾

[المؤمنون: 1-2].

Jawabu: Ni moyo kuhudhuria na viungo kutulia ndani yake.

Amesema Allah Mtukufu:

"Kwa hakika wamefaulu wenye kumuamini Mwenyezi Mungu".

"Wale ambao miongoni mwa sifa zao ni kwamba wao ni wanyenyekevu kwenye Swala zao, nyoyo zinajishughulisha na hiyo Swala tu na viungo vyao vimetulia ."

[Suratul Mu'uminun: 1,2]