Skip to content

السؤال

Swali: 26- Ni akina nani mama wa waumini?

س26: من هن أمهات المؤمنين؟

الجواب

Jawabu: Hao ni wake za Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake-.

Amesema Allah Mtukufu:

"Nabii ni bora zaidi kwa waumini kuliko nafsi zao, na wake zake ni mama zao".

[Suratul Israi: 21].

ج:هن زوجات النبي صلى الله عليه وسلم.

  • قال تَعَالَى:

﴿ٱلنَّبِيُّ أَوۡلَى بِٱلۡمُؤۡمِنِينَ مِنۡ أَنفُسِهِمۡۖ وَأَزۡوَجُهُۥٓ أُمَّهَتُهُمۡۗ﴾

[الأحزاب: ٦].