Skip to content

Swali: Ni nani Mtume wa mwisho na manabii?

الباب / الفصل
قسم العقيدة

السؤال

Swali: Ni nani Mtume wa mwisho na manabii?

س٢٣: من هو خاتم الأنبياء والمرسلين؟

الجواب

Jawabu: Ni Muhammad Rehema na Amani ziwe juu yake.

Amesema Allah Mtukufu:

{Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii}

[Suratul Israi: 21].

-Na Amesema mjumbe wa Mwenyezi Mungu rehema na Amani ziwe juu yake.

"Na mimi ndiye mwisho wa Manabii hakuna Nabii baada yangu"

Imepokelewa na Abuu Daud na Tirmidhiy na wengineo.

ج:هو محمد صلى الله عليه وسلم.

قال تَعَالَى:

﴿مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَآ أَحَدٖ مِّن رِّجَالِكُمۡ وَلَٰكِن رَّسُولَ ٱللَّهِ وَخَاتَمَ ٱلنَّبِيِّـۧنَۗ﴾

[الأحزاب: ٤٠].

وقال رسول الله ﷺ:

«وأنا خاتم النبيين لا نبي بعدي»

رواه أبو داود والترمذي وغيرهما.