Hakika ndani ya Pepo kuna mti ambao anatembea aliyepanda kipando madhubuti chenye uimara na kasi kubwa ya kukimbia kwa muda wa miaka mia moja na haumalizi (kuuvuka) mti huo
Imepokelewa kutoka kwa Abii Saidi Al-Khudry radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake amesema:
"Hakika ndani ya Pepo kuna mti ambao anatembea aliyepanda kipando madhubuti chenye uimara na kasi kubwa ya kukimbia kwa muda wa miaka mia moja na haumalizi (kuuvuka) mti huo".
«إِنَّ فِي الْجَنَّةِ شَجَرَةً يَسِيرُ الرَّاكِبُ الْجَوَادَ الْمُضَمَّرَ السَّرِيعَ مِائَةَ عَامٍ مَا يَقْطَعُهَا».
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba peponi kuna mti ambao anatembea chini yake aliyepanda Farasi aliyeandaliwa kwa mashindano, na mwenda kasi zaidi katika kukimbia kwake miaka mia moja lakini hafiki mwisho wa yanakolalia matawi yake.
Hapa kumebainishwa upana wa Pepo, na ukubwa wa miti yake.
Swahiih Al Bukhaariy (8/ 114) (6553).
Swahiih Muslim (4/ 2176) (2828).
Zaidi (6)
نزهة المتقين شرح رياض الصالحين.
لمجموعة من الباحثين (2/ 1289).
بهجة الناظرين شرح رياض الصالحين.
لسليم الهلالي (3/ 345).
تطريز رياض الصالحين.
لفيصل مُبَارَك (ص1086).