قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ
Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
Explanation & meanings · 1
- Sema: Najikinga na Mola Mlezi wa wanaadamu, Mwenye kuendesha mambo yao.
النَّاس is chapter 114 of the Quran and has 6 verses. This page presents it in full in the Uthmani script, with a verse-by-verse translation of its meaning.
قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ
Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
مَلِكِ ٱلنَّاسِ
Mfalme wa wanaadamu,
إِلَٰهِ ٱلنَّاسِ
Mungu wa wanaadamu,
مِن شَرِّ ٱلۡوَسۡوَاسِ ٱلۡخَنَّاسِ
Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,
ٱلَّذِي يُوَسۡوِسُ فِي صُدُورِ ٱلنَّاسِ
Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,
مِنَ ٱلۡجِنَّةِ وَٱلنَّاسِ
Kutokana na majini na wanaadamu.