Skip to content

السؤال

س٣٥: ماذا تقول إذا حصل ما تكرهه؟

Swali: Unasema nini yakitokea mambo yanayokuchukiza?

الجواب

ج:«الحمد لله على كل حال»

صحيح الجامع.

"Al-hamdulillaahi a'laa kulli haal" Kila Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu kwa kila hali

Hadithi iko katika sahihil Jaamii.