Skip to content

السؤال

س٣٧: ما هو الدعاء عند نزول المطر؟

Swali: 37- Ni ipi dua ya kusoma wakati wa kunyesha mvua?

الجواب

ج:«اللهم صيبًا نافعًا»

البخاري.

"Allaahumma swayyiban naafi'a" (Ewe Mwenyezi Mungu ijaalie Mvua Hiyo ni yenye kupatia na yenye manufaa)

Kaipokea Bukhari.