Skip to content

السؤال

س٢٩: ما هو دعاء المقيم للمسافر؟

Swali: 29- Ni ipi dua ya mkazi kwa msafiri?

الجواب

ج:«أستودع الله دينك، وأمانتك، وخواتيم عملك»

رواه أحمد والترمذي.

Jawabu: "Astaudiullaaha diinaka, wa amaanataka, wa khawaatiima a'malaka" Maana yake: Ninamkabidhi Mwenyezi Mungu dini yako, na amana yako, na mwisho wa matendo yako.

Ameipokea Ahmad na Al- nasaai.