Skip to content

السؤال

س١٤: ما هو الذكر عند دخول المنزل؟

Swali: 14- Ni ipi dua wakati wa kuingia nyumbani?

الجواب

ج:«بسم الله ولجنا، وبسم الله خرجنا، وعلى الله ربنا توكلنا، ثم ليسلم على أهله»

رواه أبو داود.

"Bismillah walajinaa, wabismillahi kharajinaa, wa a'laa Rabbinaa tawakkalna" Kwa jina la Mwenyezi Mungu tumerejea, na kwa jina la Mwenyezi Mungu tulitoka, na kwa Mola wetu ndiko tunako tegemea, kisha anawasalimia waliopo ndani.

Imepokelewa na Abuu Daud