Skip to content

السؤال

س١٣: ما هو الذكر عند الخروج من المنزل؟

Swali: 13- Na ni ipi dua wakati wa kutoka nyumbani?

الجواب

ج:«بسم الله، توكلت على الله، ولا حول ولا قوة إلا بالله»

رواه أبو داود والترمذي.

Jawabu: "Bismillaahi, tawakkaltu alallaahi, walaa haulaa walaa quwwata illaa billah" (Ninatoka) Kwa jina la Mwenyezi Mungu nimemtegemea Mwenyezi Mungu, na wala hakuna ujanja wala nguvu isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu.

Imepokelewa na Abudaud na Tirmidhiy.