Skip to content

السؤال

س42: ما سنن الصيام؟

Swali: 41- Ni zipi suna za swaumu?

الجواب

ج:١. تعجيل الفطر.

  1. السحور وتأخيره.
  2. الزيادة في أعمال الخير والعبادة.
  3. قول الصائم إذا شتم: إني صائم.
  4. الدعاء عند الفطر.
  5. الفطر على رطب أو تمر، فإن لم يجد؛ فعلى ماء.

Jawabu: 1- Kuwahi kufungua.

  1. Daku, pamoja na kuichelewesha kwake.
  2. Kuongeza juhudi katika amali za kheri miongoni mwa ibada.
  3. Kauli ya mfungaji anapotukanwa: Hakika mimi nimefunga.
  4. Kuomba dua wakati wa kufuturu.
  5. Kufungua kwa tende mbichi au kavu, ikiwa hatopata; basi hata kwa maji.