Skip to content

السؤال

س37: ما هي الصدقة المستحبة؟

Swali: 36- Ni ipi sadaka ya hiyari?

الجواب

ج:هي غير الزكاة، مثل: التصدق بأي شيء في وجوه الخير في أي وقت.

قال تَعَالَى:

﴿وَأَنفِقُواْ فِي سَبِيلِ ٱللَّهِ﴾

[البقرة: 195].

Jawabu: Ni ile isiyokuwa zaka, mfano: kutoa sadaka ya kitu chochote katika njia za kheri katika wakati wowote.

Amesema Allah Mtukufu:

"Na toeni katika njia ya Mwenyezi Mungu".

[Suratul Baqara: 24].