Skip to content

السؤال

س١9: ما حكم ترك الصلاة؟

Swali: 18- Ni ipi hukumu ya kuacha swala?

الجواب

ج:ترك الصلاة كفر،

قال النبي عَلَيْهِ الصَّلَاةُ وَالسَّلَامُ:

«العهد الذي بيننا وبينهم الصلاة، فمن تركها فقد كفر»

رواه أحمد والترمذي وغيرهما.

"Ahadi iliyopo kati yetu na wasiokuwa waislamu ni swala, na atakayeiacha swala basi atakuwa kakufuru"

Jawabu: Kuacha swala ni ukafiri, Amesema Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake:

Ameipokea Ahmad na Tirmidhiy na wengineo.