Skip to content

Swali: 15- Ni vipi vinavyotengua kufuta juu ya khofu mbili?

الباب / الفصل
قسم الفقه

السؤال

س١٥: ما الذي ينقض المسح على الخفين؟

Swali: 15- Ni vipi vinavyotengua kufuta juu ya khofu mbili?

الجواب

ج:١. انقضاء مدة المسح، فلا يجوز المسح على الخفين بعد انقضاء مدة المسح المحددة شرعًا، يوم وليلة للمقيم وثلاثة أيام بلياليها للمسافر.

  1. خلع الخفين فإذا نزع الإنسان الخفين أو أحدهما بعد مسحه بطل المسح عليهما.

Jawabu: 1- Kumalizika kwa muda wa kufuta, haitakiwi kufuta juu ya khofu baada ya kumalizika kikomo cha muda wa kufuta kisheria, mchana na usiku wake kwa mwenyeji, na michana mitatu na usiku wake kwa msafiri.

  1. Kuvua khofu mbili, akivua mtu khofu mbili au moja wapo baada yakuwa amefuta, kufuta juu yake kutakuwa kumebatilika.