Skip to content

Swali: 39- Ni wakati gani matendo yanakuwa yamekubalika kwa Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na ?

الباب / الفصل
قسم العقيدة

السؤال

س39: متى تكون الأعمال مقبولة عند الله سُبْحَانَهُ؟

Swali: 39- Ni wakati gani matendo yanakuwa yamekubalika kwa Mwenyezi Mungu Aliyetakasika na ?

الجواب

ج:الأعمال تكون مقبولة بشرطين:

  1. إذا كانت خالصة لوجه الله تَعَالَى.
  2. وإذا كانت على سنة النبي صلى الله عليه وسلم.

Jawabu: kwa sharti mbili:

  1. Yatakapokuwa halisi kwa ajili ya kutaka radhi za Mwenyezi Mungu Mtukufu.
  2. Na yatakapokuwa katika mafundisho ya Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake.