Skip to content

السؤال

س37: هل الإيمان يزيد وينقص؟

Jawabu: je Imani inaongezeka na kupungua?

الجواب

ج:الإيمان يزيد بالطاعة وينقص بالمعصية.

  • قال تَعَالَى:

﴿إِنَّمَا ٱلۡمُؤۡمِنُونَ ٱلَّذِينَ إِذَا ذُكِرَ ٱللَّهُ وَجِلَتۡ قُلُوبُهُمۡ وَإِذَا تُلِيَتۡ عَلَيۡهِمۡ ءَايَٰتُهُۥ زَادَتۡهُمۡ إِيمَٰنٗا وَعَلَىٰ رَبِّهِمۡ يَتَوَكَّلُونَ﴾

[الأنفال: 2].

Jawabu: Imani inaongezeka kwa kumtii Mwenyezi Mungu na inapungua kwa kufanya maasi.

Amesema Allah Mtukufu:

"Hakika wenye kumuamini Mwenyezi Mungu ni wale ambao akitajwa Mwenyezi Mungu hulainika nyoyo zao na wasomewapo aya za Mwenyezi Mungu zinawazidishia Imani na kwa Mola wao wanategemea"

[surat Anfaal:2]