Skip to content

Swali: 35- Ni akina nani vipenzi wa Mwenyezi Mungu Mtukufu? (Mawalii).

الباب / الفصل
قسم العقيدة

السؤال

س35- من هم أولياء الله تَعَالَى؟

Swali: 35- Ni akina nani vipenzi wa Mwenyezi Mungu Mtukufu? (Mawalii).

الجواب

ج:هم المؤمنون المتقون المتبعون لسنة النبي صلى الله عليه وسلم.

قال تَعَالَى:

﴿أَلَا إِنَّ أَوْلِيَاءَ اللَّهِ لَا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ 62 الَّذِينَ آمَنُوا وَكَانُوا يَتَّقُونَ 63﴾

[يونس: 62-63].

Jawabu: Ni waumini wachamungu.

Amesema Allah Mtukufu:

"Tambueni kuwa vipenzi wa Mwenyezi Mungu hawatokuwa na hofu juu yao na wala hawatohuzunika, (62) Wale walioamini na wakawa wachamungu"

[Suratu Yunus: 62,63].